Manara Atapika Nyongo "Senzo Alivyokuja Simba Alipewa Kazi ya Kunifukuzisha Kazi Mimi" - EDUSPORTSTZ

Latest

Manara Atapika Nyongo "Senzo Alivyokuja Simba Alipewa Kazi ya Kunifukuzisha Kazi Mimi"
"Wakati Senzo anakuja kwa mara ya kwanza, alinifuata na kuniambia amepewa kazi ya kunifukuza Mimi kazi, lakini Senzo alihoji kwanini nimfukuze bila sababu?"

"Kifupi walimleta ili atekeleze matakwa ya wakubwa ila Senzo alisimama imara sana, alipinga kufanya kitu bila kukichunguza ndicho kilichomuondoa Simba"
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz