Lukamba Afunguka "Mke wangu na Jux Walitokea Upande wa Chooni"



Tulienda kwa Juma_jux baada ya party ya Elements, kwasababu boss wangu alikuwepo pale ikabidi niende… ivyo kuna tukio lilitokea baada ya Iamceccy kwenda Toilet, wakati anatoka toilet Juma_jux nae akawa anatokea Studio kwake ambayo ipo upande huo huo hivyo ikawa inaonekana kama kweli wametoka upande Mmoja wa Chooni " - Ameyasema hayo Lukambaofficial akilalamika Jux kutembea na Mkewe


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post