Njaa Madagascar yawalazimisha watu kula wadudu - EDUSPORTSTZ

Latest

Njaa Madagascar yawalazimisha watu kula wadudu
Madagascar iko katika ukingo wa kukumbwa na ''njaa inasobabishwai na mabadiliko ya hali ya hewa", kulingana na Umoja wa Mataifa ambayo inasema maelfu ya watu tayari wanakabiliwa na viwango vya juu vya njaa na uhaba wa chakula baada ya kukosa mvua kwa miaka minne.
Ukame huo - mbaya zadi kuwahi kushuhudiwa ndani ya miongo minne - umeathiri zaidi jamii ya wakulima kusini mwa nchi, na kuwa fanya wageukie kula wadudu ili kuishi.

"Hii ni hali ya njaa inayosababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa sio mizozo," alisema afisa wa Shirikala Chakula la Umoja wa Mataifa, Shelley Thakral.

UN inakadiria kuwa watu 30,000 kwa sasa wanabiliwa viwango vya juu vya uhaba wa chakula uliotambuliwa kimataifa - na kuna wasi wasi kwamba idadi ya walioathirika ikaongezeka pakubwa wakati Madagascar inaingia ''msimu mwembamba'' kabla ya mavuno.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz