Meneja Wa Msanii Diamond Platinumz Mkubwa Fella Amefunguka Mshahara Ambao Analipwa Na Msanii Huyo Kila Mwisho Wa Mwezi Ambayo #MKUBWA Ametaja Kuwa Analipwa Kiasi Cha Shilingi Milioni 46.
Kwenye Kipindi Cha #Mgahawa Cha Wasafi Fm #MKUBWA Amesema....."Hela Ambayo Ananilipa #NASEEB Nina Haki Ya Kulala Tu Kusema Mshahara Ni Dhambi Lakini Sina Budi Kusema Nachukua Dola Elfu 20 Za Kimarekani Kila Mwezi Ambayo Ni Zaidi Ya Milioni 46 Za Kitanzania Na Hapo Bado Gawio Kutoka Kwa #RAYVANNY , #ZUCHU Na #MBOSSO Na #MBOSSO Kinyago Nimekichonga Mwenyewe''
Post a Comment