Gwajima Acharuka "Nilishasema SICHANJWI na Sinta Chanjwa" - EDUSPORTSTZ

Latest

Gwajima Acharuka "Nilishasema SICHANJWI na Sinta Chanjwa"
Mbunge wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dkt. Josephat Gwajima amekanusha taarifa zinasombaa mitandaoni kuwa amechomwa chanjo ya corona.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Gwajima ameandika; NILISHASEMA MIMI SICHANJWI NA SITACHANJWA CHANJO YA CORONA


Scan hiyo QR code utapata jina la raia wa KENYA mwenye certificate walichotumia kuFAKE. Swipe picha ya pembeni yenye cheti husika cha raia wa Kenya. SICHANJWI NILISHASEMA.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz