Director Kenny Akanusha Kutemwa na Diamond Platnumz - EDUSPORTSTZ

Latest

Director Kenny Akanusha Kutemwa na Diamond Platnumz

 


Director Kenny amekanusha uvumi wa taarifa za kutemwa na msanii Diamond Platnumz baada ya kuonekana kubadilisha mwongozaji wa video yake mpya “Iyo” iliyofanyika na Hanscana.

Mwongozaji wa video huyo amesema alikuwa amesafiri kwenda nchini Zimbabwe kikazi na ndio maana hakufanya video ya “Iyo” waliyoshiriki Focalistic, Mapara A Jazz na Ntosh Gazi kutoka Afrika Kusini bado yupo Zoom Extra.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz