Baba Levo "Msanii Kusainiwa Na DiamondPlatnumz Au Alikiba Ni Bahati Ya Mtende - EDUSPORTSTZ

Latest

Baba Levo "Msanii Kusainiwa Na DiamondPlatnumz Au Alikiba Ni Bahati Ya Mtende


Msanii wa Bongofleva Ndani Ya Kipindi Cha WasafiFM BabaLevo Amefunguka Na Kusema Kusainiwa Na DiamondPlatnumz Au Alikiba Ni Bahati Ya Mtende, Wasanii Wengine wamekalia kusema wao wakubwa huku mambo hayaendi kumbe wakongwe 

Hiyo Yote akimaanisha nguvu yao Kutokana Na Wimbi Kubwa La Ushindani Katika Muziki Wa Bongofleva Pande Hizo Mbili. "Team Alikiba, Team DiamondPlatnumz "

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz