Shura ya Maimamu "Polisi Wawaachie Viongozi Chadema Bila Masharti" - EDUSPORTSTZ

Latest

Shura ya Maimamu "Polisi Wawaachie Viongozi Chadema Bila Masharti"Shura ya Maimamu Tanzania imetoa tamko la kuwataka Polisi kuwaachia bila masharti viongozi na wanachama wa CHADEMA waliokamatwa Mwanza wakijiandaa kushiriki Kongamano la Katiba Mpya

Shura ya Maimamu wamesema kukamatwa kwa Viongozi ni kiashiria kuwa Jeshi la Polisi linaendeleza hujuma dhidi ya wananchi kwakuwa haki ya kukusanyika na kutoa maoni ni haki ya Kikatiba

Aidha wameshauri Vyombo vya Dola ikiwemo Polisi kutoendeleza vitendo vya ukiukwaji Haki za Kiraia na kukandamiza Uhuru wa watu Kujieleza

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz