Askari Auawa Kwa Panga Akijaribu Kumkamata Mtuhumiwa wa Wizi - EDUSPORTSTZ

Latest

Askari Auawa Kwa Panga Akijaribu Kumkamata Mtuhumiwa wa WiziAskari Polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi Mbughuni, Arumeru amefariki kwa kukatwa na panga alipokuwa akijaribu kumkamata Mtuhumiwa wa Wizi saa tano usiku katika Kijiji cha Makiba anakoishi Mtuhumiwa

Mwananchi aliliripoti tatizo la Mtuhumiwa kuiba mazao na alipokwenda kukamatwa, Mtuhumiwa mwingine kutoka nyumba jirani alikuja na kumpiga panga Askari huyo ambaye alifariki muda mfupi baada ya kuvunja damu nyingi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP Justine Masejo amesema Mtuhumiwa amekimbia ila msako unaendelea

#Jamiiforums

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz