Mke wa aliyekuwa Rais wa Haiti Jovenel Moïse Aliyeuawa Jana Nae Afariki Dunia - EDUSPORTSTZ

Latest

Mke wa aliyekuwa Rais wa Haiti Jovenel Moïse Aliyeuawa Jana Nae Afariki Dunia


Mke wa aliyekuwa Rais wa Haiti Jovenel Moïse (aliyeuawa jana kwa shambulio), Bi. Martine Moïse na yeye amefariki Dunia jioni ya jana Julai 7, 2021 akiwa na miaka 47 kufuatia majeraha mengi na makubwa mwilini mwake na madaktari kushindwa kuokoa maisha yake kutokana na shambulio alilofanyiwa yeye na mumewe katika makazi yao.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz