Marehemu Mfugale Kuzikwa Julai 5 Mkoani Iringa - EDUSPORTSTZ

Latest

Marehemu Mfugale Kuzikwa Julai 5 Mkoani Iringa

Mwili wa aliyekuwa  Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale utazikwa  Julai 5, 2021 nyumbani kwake Ifunda mkoani Iringa.

Mfugale alifariki dunia Jumanne Juni 29, 2021 saa 5 asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma.

Kwa mujibu wa ratiba ya mazishi, mwili wa Mfugale unatarajiwa kusafirishwa kwenda jijini Dar es Salaam Alhamisi Julai Mosi, 2021 ukitokea Dodoma na kupelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo.Ijumaa Julai 2, 2021 mwili utatolewa hospitalini hapo na kupelekwa viwanja vya Karimjee ambapo wafanyakazi wa Tanroads na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi watatoa heshima zao za mwisho kisha utapelekwa Kimara Temboni nyumbani kwake.

Baada ya misa takatifu siku ya Jumamosi Julai 3, 2021 mwili wa Mfugale utasafirishwa kwenda Ifunda mkoani Iringa ambapo unatarajiwa kuwasili Julai 4 na maziko yatafanyika Julai 5, 2021 nyumbani kwake IfundaJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz