Alikiba: Sitaki kumuhusisha mwanangu kwenye mambo yangu mpaka yeye achague upande ingawa anapenda muziki - EDUSPORTSTZ

Latest

Alikiba: Sitaki kumuhusisha mwanangu kwenye mambo yangu mpaka yeye achague upande ingawa anapenda muziki



Akiongea na wana habri Alikiba ameonyeshwa kukerwa na swali lililomuhusu Diamond na kusema hapendi hilo swali lakini baada ya kuulizwa kuhusu mambo ya magari pia amesema hapendi magari na simu.

Pia kuhusu mtoto wake kujihusisha na mambo ya muziki Alikiba amesema kuwa ni kweli mtoto wake anapenda sana muziki ila hataki kumuhusisha na mambo ya muziki mpaka yeye atakapochakugua cha kufanya.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz