RASMI sasa Lionel Messi sio mchezaji tena wa Barcelona - EDUSPORTSTZ

Latest

RASMI sasa Lionel Messi sio mchezaji tena wa Barcelona

 


RASMI sasa Lionel Messi sio mchezaji tena wa Barcelona , mkataba wake umeisha rasmi jana usiku

Joan Laporta anakimbizana na muda kumpa gwiji huyo mkataba mpya . Wanapambana na ishu za Financial Fair Play ( FFP ) na baada ya hapo ndio wapate ufumbuzi kuhusu suala la Messi

NOTE

Ngoja wenye hela zao wampitie juu kwa juu ndio Laporta hapo akili itamkaa sawa

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz