Mangi Kimambi Ashtuka "Nipeni muda kwanza Nifanye Hii Research Tuone Kama Rolls Royce ya Diamond Platnumz ni OG Ama Feki" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mangi Kimambi Ashtuka "Nipeni muda kwanza Nifanye Hii Research Tuone Kama Rolls Royce ya Diamond Platnumz ni OG Ama Feki"Leo dada wa taifa nimeharibu. Nimetoa hongera too fast kabla sijafanya research.

Mi nawaomba wananchi Rolls Royce ya Diamond tuachane nayo kwanza. Maana zipo nyingi fake, especially Dubai.


Kumbe wanachukua engine za gari ingine then wanajengea muundo wa Rolls Royce juu. Inabidi uwe mtaalamu kugundua its fake.


Bado sijasema ya Diamond feki ila a very good source ana insist kwamba ya Diamond fake not real.


Inabidi research kubwa ifanyike kwa Rolls Royce ya Diamond then ndo dada wa taifa ntaleta conclusion if it’s fake or real ila kwa sasa hivi nna wasiwasi mkubwa mnoo kwamba Rolls Royce ya Diamond ni fake.

Nipeni muda kwanza nifanye hii research kwa utulivu. Kuna wataalam wa hizi gari. Wataangalia gari ya Diamond dakika mbili watajua if it’s fake na ufeki upo wapi exactly watatuelekeza kwa details.

Conclusion ikiwa kuwa ile gari ni fake, sitomlaumu Diamond. Ntamlaumu Zari. Yule ndo anaemfundisha haya mambo sababu ya hiyo TV show.

So nawaomba wananchi muwe na utulivu kwenye kipindi hiki kigumu, mruhusu uchunguzi uendelee. Mungu ibariki Tanzania.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz