Unaambiwa Kupanga Nyumba ya Rihanna ni Milioni 185 Kwa Mwezi..Jipange Mtu Wangu - EDUSPORTSTZ

Latest

Unaambiwa Kupanga Nyumba ya Rihanna ni Milioni 185 Kwa Mwezi..Jipange Mtu Wangu


Ni Headlines za staa kutokea Marekani, Rihanna ambae time hii anamiliki vichwa vya habari baada ya kutangaza dau linalohitajika kupangisha nyumba yake.

inaripotiwa na vyombo vya habari kwamba staa huyo ameweka wazi dau ama Pesa kwa yoyote atakaehitaji kupangisha nyumba yake ya kifahari ambapo ni dolla za kimarekani Elfu 80 ambazo ni sawa na fedha za kitanzania takribani Milioni 185 kwa mwezi.

Hapo awali staa huyo aliinunua nyumba hiyo kwa thamani ya Bilioni 30 za kitanzania na ina vyumba vitano via kulalia pamoja na mabafu 7.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz