Msajili wa Vyama Vya Siasa ataka Chadema Waeleze Sababu ya Kuwafukuza Kina Mdee - EDUSPORTSTZ

Latest

Msajili wa Vyama Vya Siasa ataka Chadema Waeleze Sababu ya Kuwafukuza Kina Mdee
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, ameitaka CHADEMA kutoa maelezo ya kina kwanini iliwafukuza Wanachama wake 19 ambao ni Wabunge wa Viti Maalum

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Benson Kigaila, amesema wamepokea barua kutoka kwa Msajili baada ya Wabunge 19 wa Viti Maalum kutoa malalamiko

Amesema hawawezi kutoa maelezo kwa Jaji Mutungi kwakuwa ni kinyume cha utaratibu wa Chama
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz