Lulu diva: Wengi waliona kama nimemdhalilisha mama yangu kwenye wimbo lakini sina mwingine bora nimuimbie yeye - EDUSPORTSTZ

Latest

Lulu diva: Wengi waliona kama nimemdhalilisha mama yangu kwenye wimbo lakini sina mwingine bora nimuimbie yeye



Staa wa Bongo Fleva Lulu Diva ameeleza namna anavyofurahishwa na muziki wa Bongo Fleva ulivyochangamka sio watu wanasubiria msanii mmoja atoe wimbo ila ulivyochangamka ndio sahihi.



Mbali na hilo Lulu Diva amekataa kuzungumzia sakata lake na Lavalava ambapo Lavalava alieleza kuwa hakufanikiwa kulala kutokana na kumpenda Lulu Diva lakini Lulu Diva mtandaoni alimjibu shabiki kuwa Lavalava hakulala labda huenda aling’atwa na mbu hakupulizia dawa au kutumia net.

Haya ndio majibu yake baada ya kuulizwa swali hilo.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz