Kesi ya Sabaya na wenzake yapigwa kalenda - EDUSPORTSTZ

Latest

Kesi ya Sabaya na wenzake yapigwa kalenda
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha yaahirisha kesi ya aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na walinzi wake 5 hadi Julai 16 mwaka huu watakapo fikishwa mashahidi wa upande wa Jamhuri kuwasilisha ushahidi dhidi ya kesi inayo wakabili. Lengai Ole Sabaya (34) na wenzake watano wanakabiliwa na mashtaka sita yakiwemo mawili ya ujambazi wa kutumia silaha.Leo Julai 2,2021 katika mahakama hiyo ilidaiwa mashtaka mengine manne yanayowakabili upelelezi wake bado haujakamilika.

Wakili wa Serikali, Tarsila Garvas aliomba kupangwa siku nyingine ili mashahidi hao waanze kutoa ushahidi wao na hakimu mkazi mkuu, Salome Mshasha alikubali maombi hayo na kuahirisha kesi hiyo hadi Julai 16, 2021.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz