“Kumchamba MTU Mtandaoni ni Kosa Kisheria” Waziri Ndugulile - EDUSPORTSTZ

Latest

“Kumchamba MTU Mtandaoni ni Kosa Kisheria” Waziri NdugulileWaziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amewataka watu kutumia Mitandao ya Kijamii vizuri na kuepuka makosa ya mtandaoni.

Dk. Ngugulile ameyasema hayo  jijini Dodoma  katika uzinduzi wa tovuti ya wizara hiyo pamoja na mpango mkakati wa 2021/26.

Waziri amebainisha kuwa ukatumia ukurasa wa Instagram kumsema mtu vibaya ‘kumchamba’ ni kosa kisheria au kumkashifu mtu mtandaoni ni kosa hata kama mtu atatumia jina lisilo halisi katika TEHAMA akitenda uhalifu atabainika na kuchukuliwa hatua.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz