NILIIPATA KAMERA YANGU YENYE THAMANI YA 200,000 NILIKUWA NIMEPORWA NILIPOKUWA NAREJEA NYUMBANI - EDUSPORTSTZ

Latest

NILIIPATA KAMERA YANGU YENYE THAMANI YA 200,000 NILIKUWA NIMEPORWA NILIPOKUWA NAREJEA NYUMBANI

NILIIPATA KAMERA YANGU YENYE THAMANI YA 200,000 NILIKUWA NIMEPORWA NILIPOKUWA NAREJEA NYUMBANI


Kuchukua mali ama kitu cha mtu mwingine huwa ni jambo ambalo hukiuka kanuni za jamii haswa katika mila na desturi za kiafrika. Licha ya kuwa mwiko, hilo halikuwazuia vijana watano niliokumbana nao siku moja nilipokuwa natoka kazini kupora na kukimbia na picha ya kampuni ya uandishi amabayo nilikuwa nimetwikwa jukumu la kuitunza kamera ile. 

Usiku huo nilitembea pole pole gizani na baada tu ya kufika katika barabara panda katika eneo la Kayole nilipigwa na kifaa butu kwenye kifua changu na hapo nikajipata hospitalini kwani singeweza kusimulia zaidi yaliyokuwa yametokea wakati ule. Ama kwa hakika mtaa wa Kayole ulijulikana kuwa na vijana ambao walikuwa wametokwa maadili na ambao walikuwa ni pwagu. Wiki haikukamilika bila ya fununu za kijana mmoja kuwa ameuwawa na polisi kwa kupatikana katika shughuli za wizi. Walijiingiza katika magennge ambapo waliwaibia wakazi wa mtaa ule kila mara.

Baada ya kupata nafuu, nilitoka hospitalini na punde niliporejea kazini nilipigwa na butwa kwani nilipata barua ya kufutwa kazi na kampuni ile tajika ya uanahabari ambayo sitoitaja. Kulingana na barua ile walisema kwamba hawakuniamini na kuwa walikuwa na ushahidi tosha nilikuwa nimeiuza picha ile. 

Nilianza kukumbwa na mzomgo wa mawazo kwa kuwa sikuwa na kmahali pengine pa kupata kipato cha kila siku. Isitoshe nilikuwa na familia change ambapo wote walinitegemea katika hali. Vidonda vya tumbo vilifuatia kwani sikujua ningeanzia wapi wala ningemalizia wapi. Marafika wote walinitoroka huku wazazi wangu wakinitenga. Mke wangu pia alinitoroka kwani alikuwa ameambiwa kasumba kutoka kwa marafiki wangu waandishi kwamba nililikuwa nimeiuza picha ile na kuwa nilikuwa mtu ambaye sikuwa mwaminifu kamwe.

 Hali hiii ilinifanya kuwa na upweke swala ambalo nilichanganyikiwa ningesuluhisha vipi. Nilijaribu kupiga ripoti kwenye vituo mbalimbali vya polisi lakini hakuna chochote kilichoendelea kwani hakukuwa hata na ishara ya kutia wezi wale mbaroni. Nilisalia mahame njini na kuelekea kuishi na ndugu yangu kwa kuwa maisha yalikuwa yamenilemea kwa kuwa nilikuwa keshapigwa kalamu. 

Nilianza kupata nafuu baada ya rafiki yangu Silas kunielekeza kwa daktari tajika wa miti shamba aliyefahamika kama daktari Kiwanga aliyeishi mjini Kericho. Hapo tulifunga safari hadi mjini Kericho kwa jili ya usaidizi. Nilishugulikiwa na daktari Kiwanga ananipa hakikisho kwamba ningepata picha ile na pia ningerejea kazini punde tu ningeiwasilisha kamera ile. 

Nilirejea kwenye mtaa wa Kayole na baada ya siku tatu niliyaona maajabu. Vijana watano walifika pahali nilipokuwa niishi huku wakila mchanga na kuomba msamaha.walikuwa wameibeba picha ile na hapo ilikuwa ishara tosha kwamba daktari Kiwanga alikuwa ni mtu wa kusaidia watu. Nilimpigia simu kumwelezea habari njema na hapo akaamrisha vijana wale walipe shilingi elfu kumi kila mmoja ile wawezr kupata nafuu.

Siku iliyofuatia niliandamana na picha ile hadi kwenye kampuni niliyokuwa nikifanya kazi. Hawakutarajia kwamba picha ile ya thamani kubwa ingerejea kwa wakati mmoja kwani walidhani kuwa nilikuwa kasha ipiga mnada. Mkuu wa kitengo cha uandishi alinipongeza kwa juhudi zangu za kuirejesha picha ile kwa sababu ilikuwa imewagarimu hela nyingi zaidi kuinunua. Baada ya siku tatu niliporejea nyumbani nilipata ujumbe kwenye barua pepe kwamba nilikuwa tayari huru kurejea kazini. Ama kwa hakika daktari Kiwanga ni mtu wa kutegemewa kwa wakati wowote ule.

Daktari Kiwanga ana uwezo wa kutibu maradhi kama vile msukumo wa damu, kifaduro, kifua kikuu na mengineyo kwa muda wa siku tatu pekee. Anakuwezesha pia kuimarisha biashara yako inayoonekana kama inaenda chini. Anawapa watu kama wahubiri nguvu za kuita waumini wengi zaidi katika huduma zao.

CHAT NA DR KIWANGA LIVE HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz