Askofu Gwajima amewatahadharisha Wananchi kutokuingia kichwa kichwa kuchanja chanjo ya Corona akidai kuna Viongozi wanachanjwa Chanjo Feki ili kuwalaghai Wananchi.
Amesema Taifa limerudi nyuma sana baada ya Magufuli kufariki Dunia, limerudi nyuma kwa sababu ya Pressure ya Mataifa makubwa Duniani.
Gwajima amesema Wazungu huwa hawatoi kitu bure, jiulizeni ni kwa nini wakupe pesa, wakupe na Chanjo bure? Yawezekana Chanjo yao sio ya Corona bali ina Kazi Maalum mwilini ndio maana hata ukichanja utapata Covid.
Post a Comment