Unaambiwa Huenda Kanye West Akafanya Listening PARTY Ingine..Tayari Amekodi Ukumbi wa Madison Square Garden - EDUSPORTSTZ

Latest

Unaambiwa Huenda Kanye West Akafanya Listening PARTY Ingine..Tayari Amekodi Ukumbi wa Madison Square Garden

Baada ya kupata mafanikio makubwa Jijini Atlanta, Wakazi wa New York wanaweza nao kuishuhudia listening party ya Kanye West, kwa mujibu wa ukurasa wa Deux ambao unadili na habari za mastaa, umeripoti kwamba Kanye tayari amekodi ukumbi wa Madison Square Garden kwa ajili ya kufanya sehemu ya pili ya usikilizaji wa album yake mpya, DONDA.

Taarifa zinaeleza kwamba usiku huo Kanye West atafanya uzinduzi wa bidhaa zake za mavazi 'YEEZY GAP' chini ya ushirikiano na Kampuni ya GAP. Usiku huo pia inaweza kuachiwa album yake mpya ambayo imetajwa kutoka Agosti 6, mara baada ya kuahirishwa wiki iliyopita.

Kumbukumbu zinaeleza, Kanye atafanya kama alichokifanya mwaka 2016 pale alipoachia album yake #TheLifeOfPablo kwenye uzinduzi wa Yeezy Season 3 katika ukumbi huo huo wa Madison Square GardenJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz