Breaking News: Maskini Mbowe Apata Pigo Zito - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking News: Maskini Mbowe Apata Pigo ZitoMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe, amefiwa na kaka yake ajulikanaye kwa jina la Charles Mbowe.

Taarifa ya kifo hicho imetolewa leo Julai 8, 2021, na Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, kupitia ukurasa wake wa Twitter, wakati alipotumia mtandao huo kutoa salamu za pole kwa familia.

“Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Charles Mbowe, Kaka ya Mwenyekiti Freeman Mbowe, poleni sana familia ya Kaka Charles na ukoo wote wa Mbowe, Mwenyezi Mungu awe mfariji wenu wakati huu wa majonzi na ampumzishe marehemu mahali pema,” ame-tweet Mh. Mnyika.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz