Morrison Aomba Radhi Kwa Mashabiki Kisa Yanga




NYOTA wa Simba, Bernard Morrison amesema kuwa anaomba msamaha kwa mashabiki wa Simba kutokana na kushindwa kupata matokeo mbele ya Yanga, Julai 3 baada ya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 0-1 Yanga.

 Morrison ambaye aliyeyusha dk 90 kwenye mchezo huo amesema kuwa walikuwa wanahitaji ushindi ila haikuwa hivyo kwao jambo ambalo anaamini kwamba liliwaumiza mashabiki wao. Kuelekea kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Julai 25 ameweka wazi kwamba mpaka watakapomaliza mechi zao zilipo mbele.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post