TANZIA: Mtangazaji Mkongwe Nchini Tanzania Fredwaa amefariki Dunia - EDUSPORTSTZ

Latest

TANZIA: Mtangazaji Mkongwe Nchini Tanzania Fredwaa amefariki Dunia#TANZIA: Mtangazaji Mkongwe Nchini Tanzania, Fred Fidelis maarufu kama #Fredwaa amefariki dunia leo Juni 12 Jijini Dar Es Salaam

Taarifa za Awali Zinaeleza kuwa #Fredwaa amefariki Dunia baada ya kupata ajali eneo la Kawe Jijini Dar es Salaam

Endelea kufuatilia kurasa zetu kwa Taarifa zaidi

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahala pema peponi, Amin

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz