Rais Samia ampa tumaini jipya Mbunge wa CHADEMA - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Rais Samia ampa tumaini jipya Mbunge wa CHADEMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa ataenda kuangalia kwa undani sababu na vikwazo viliyopelekea hadi sasa kutoundwa kwa Baraza la Vijana la Kitaifa la kuwawezesha vijana kukutana na kuzungumzia changamoto zao zinazowakabili.


Rais Samia ametoa kauli hiyo leo mkoani Mwanza, kufuatia ombi la kuwepo kwa baraza hilo lililotolewa na Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje, aliyeomba kwamba vijana wanatakiwa wawe na baraza litakalowakutanisha kujadili changamoto zao kwa pamoja na kuwasilishwa serikalini kwa kuwa wanazo changamoto nyingi ambazo haiwezekani kwa kijana mmoja mmoja kusimama na kuziongelea."Kama vijana bila kutazama jinsia zenu ama itikadi zenu za kisiasa na kidini mnakutana wapi kujadili mambo yenu na kuweka ajenda za kitaifa, na hapa linanikumbusha lile alilosema mwanangu (Nusrat) lile baraza la vijana ambalo limesemwa siku nyingi lakini halijaundwa, tutakwenda kuangalia kwa undani kwanini halikuundwa, kuna vikwazo gani na tuone jinsi ya kuwaundia jukwaa hilo," amesema Rais Samia.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz