Young Lunya afunguka madai ya kutoka na Uwoya - EDUSPORTSTZ

Latest

Young Lunya afunguka madai ya kutoka na Uwoya

 


Rapa Young Lunya amefunguka kuhusu madai ya stori zinazosemekana kwamba anatoka kimahusiano na staa wa filamu Irene Uwoya kwa kusema kama taarifa hizo zingekuwa na ukweli ingeshajulikana.

Akizungumzia madai ya stori hizo zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii Young Lunya amesema

 "Ingekuwa ni kweli basi ingeshajulikana, uzuri ni kwamba mahusiano sio kitu cha kufichika".

Hii sio mara ya kwanza kwa Young Lunya kusemekana kwamba ana mahusiano na mastaa wa kike kwani kipindi cha nyuma zilitoka stori zinazosema ana-date na Mimi Mars pamoja na Barbiemia.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz