KIPAKATALISHI KILICHONIPA MAJONZI - EDUSPORTSTZ

Latest

KIPAKATALISHI KILICHONIPA MAJONZI


Tangia utotoni mwangu kipindi nasoma shule ya msingi,ilikuwa ni ndoto yangu kubwa siku moja kuweza kufikia chuo kikuu katika masomo yangu.Nilijitahidi kwa vyovyote nilivyoweza kuweza kufanikisha malengo hayo.Baada ya takribani miaka kumi hivi,nilijaaliwa kuiona milango ya chuo kikuu kimoja mashuhuri sana nchini Kenya cha Nairobi na nikawa na kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu.Na kama ilivyo ada ya binadamu wengi kuafikia lengo moja ni kuwazia lingine,nilitamani sana kumiliki kipakatalishi ilmradi kufanikisha wepesi wa kufanya kazi mle chuoni.

Niliwaeleza wakongwe wangu kuhusu swala hilo na likawaingia kwenye fikra zao na kupelekea wao kujibana na kujigaraguza juu chini na hatimaye atafutae hakosi kwani walipata hela zilizoniwezesha kumiliki kipakatalishi changu maridadi.Nilijihisi mwenye kustahili kuwepo mle chuoni kwani ningeweza kuyafanya ambayo nilistahili kufanya kama mwanafunzi kwa wepesi zaidi.Ni kifaa nilichokidhamini sana na kukitunza sana kwa umakini mkubwa kiasi kwamba popote nilipokwenda niliandamana na kipakatalishi changu.

Kifaa chenyewe kilikuwa cha manufaa sana kwani kilitegemewa sana na wanafunzi wenzangu ambao hawakujaliwa kumiliki vyao binafsi.Kadri muda ulivyokwenda manufaa yalizidi kwani kiliniwezesha hata kuweza kupata senti kutokana na kazi za uandishi nilizojihusisha nazo.

Siku moja baada kutoka chuoni na kuelekea chumbani kama ilivyokuwa desturi yangu,nilikiweka kile kipakatalishi pale sebuleni ili kuyatekeleza majukumu mengine kam vile kuosha nguo na pia kuandaa mlo ili kujiandaa kukamilisha kazi za mhadhiri nilizojukumiwa kuzitekeleza.Nilitakiwa kwenda sokoni kutafta chajio ili kujiweka sawa ila nilisahau kufunga mlango wa chumba changu siku ile.

Niliporejea sikuyaamini macho yangu kwa nilichokiona.Yarabi maskini!Kipakatalishi sikukipata nilipokiacha.Kimekwenda wapi jamani,nani kakichukua na kwann.?Ndio baadhi ya maswali yaliyonijaa kwenye kichwa changu huku Machozi yakinidondoka machoni nisipate jawabu.Ni wakati wenye changamoto zaidi kuwahi kunitokea katika takribani miongo mitatu niliyoishi chini ya jua.

Niliwaza wapi ningeweza kupata msaada kwa kipindi kile na kujishawishi kuwa katika kituo cha polisi cha Utumishi,ningeweza kurejesha matumaini tena.Nilielekea kituoni humo kuripoti yaliyonikumba chumbani mwangu,ambapo maafisa wa polisi waliahidi kufuatilia na kuhakikisha aliyehusika amepatikana na kukamatwa katika jitihada za kurejesha kipakatalishi changu kilichonikosesha usingizi tangu kutoweka kwake.

Kwa zaidi ya miezi mitatu nilikuwa nikifuatilia kwenye kituo cha polisi ili kufahamu walipofikia na uchunguzi wao ila sikuwahi pata jawabu lolote kando na kupigishwa njaramba kila uchao.Ni jambo ambalo lilinipiga dafrao kwani niliamini fika kwamba ningepata msaada pale kituoni bila matumaini kamwe.Siku moja tukiongea na jamaa wangu kijiweni,alinieleza kuhusu jinsi nduguye aliwahi kusaidika kwa "Kiwanga doctors" baada ya kuugua saratani kwa miaka miwili na akapona kabisa.Niliutilia ushauri wake maanani sana kwani nilikuwa nimeshakata tamaa nisijue la kufanya.Ilikuwa ni risasi ya mwisho ili kurejesha furaha yngu maishani.

Nilitafta huduma za Kiwanga doctor na nikaagizwa ndani ya siku nne nitakuwa nimepata kipakatalishi changu bila hata kung'ang'ana.Mwanzo sikuwa mwepesi wa kuamini kwani tayari nilikuwa nimetendwa imani yangu ilipokuwa.Ilipowadia siku ya nne nilipata simu kutoka kwa mtu mgeni sana kwa masikio yangu,sauti iliyojaa majuto na masikitiko akieleza jinsi alivyoniibia chumbani mwangu.Nilimwagiza akilete mpaka alipokitoa na hatimae nikatuliza ghadhabu baada yakukipata kifaa nilichopenda sana maishani.

CHAT NA KIWANGA DR BURE HAPA


Kiwanga doctors wanauwezo pia wa kutibu magonjwa kama vile msukumo wa damu,saratani ya kibofu,Ugonjwa wa moyo miongoni mwa mengine.Vile vile wanatoa huduma kama vile Kunongesha mapenzi,kupata kazi,kulinda mali na hata kumrejesha mpenzi aliyetoroka.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Kiwanga doctors kupitia +254 769404965



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz