Harmonize Afunguka Kuwasamehe Wote Waliosambaza Picha zake za Utupu - EDUSPORTSTZ

Latest

Harmonize Afunguka Kuwasamehe Wote Waliosambaza Picha zake za Utupu


 Harmonize amesema kwamba amewasamehe wote ambao aliwashtaki kwa madai ya kuvujisha picha zake za utupu kwenye sakata lilitokea miezi kadhaa iliyopita. Kwenye mkutano na Waandishi wa habari leo, @harmonize_tz amesema tayari amefuta kesi hiyo mahakamani.

Miongoni mwa watu ambao alikuwa amewashtaki ni pamoja na Rayvanny, Diva The Bawse, Baba Levo na wengine.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz