Kuwe na Utaratibu wa Kufuatilia Fedha Kwenye Mitandao ya Simu Kwa Watu Wanaofariki - EDUSPORTSTZ

Latest

Kuwe na Utaratibu wa Kufuatilia Fedha Kwenye Mitandao ya Simu Kwa Watu Wanaofariki

 


Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema watu wanaofariki na kuacha fedha kwenye mitandao kama TigoPesa, M-Pesa, Airtel Money na nyinginezo wanazinufaisha Kampuni za Mawasiliano huku Serikali ikiwa haipati kitu

Ameishauri Serikali iweke utaratibu ili ndugu wa karibu waweze kudai fedha hizo na Serikali kunufaika kwa upande mwingine ili Mitandao hiyo isinufaike pekee yake kutokana na fedha nyingi ambazo waliofariki huziacha





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz