Mwimbaji Nickki wa Pili Aapishwa Kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwimbaji Nickki wa Pili Aapishwa Kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe

 


Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakari Kunenge amemuapisha Nickson Simon John maarufu @nikkwapili kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe

Nickki wa pili anachukua nafasi ya DC Jokate Mwegelo ambaye ameteuliwa na Rais Samia kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz