Breaking: Mbowe na Wenzake Kurejeshewa Mil. 350 - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking: Mbowe na Wenzake Kurejeshewa Mil. 350

 


Mahakama Kuu ya Tanzania, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe pesa walizolipa kama faini, kiasi cha shilingi milioni 350.

Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta.

Habari zaidi zinakujia.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz