Mke wa Kobe Bryant Akubali Kumaliza Kesi yake na Wamiliki wa Helkopta Iliyomuua Mumewe na Binti yake - EDUSPORTSTZ

Latest

Mke wa Kobe Bryant Akubali Kumaliza Kesi yake na Wamiliki wa Helkopta Iliyomuua Mumewe na Binti yake

Mke wa aliyekuwa Mchezaji maarufu wa Mpira wa kikapu Kobe Bryant, Vanessa Bryant ameripotiwa kumaliza shauri lake dhidi ya rubani na wamiliki wa helikopta ambayo ilichukua uhai wa mume wake pamoja na binti yake kwenye ajali iliyotokea Januari 26, 2020 mjini Los Angeles na kuua watu wengine 7.

Juzi Jumanne Vanessa Bryant pamoja na ndugu wengine wa marehemu waliamua kulimaliza shauri hilo kwa kukubaliana pande zote mbili kutofika mahakamani.

Hata hivyo vipengele vya maridhiano yao havijawekwa wazi kama ni fidia kiasi gani watalipwa. Kama makubaliano hayo yatapitishwa na Mahakama, itakuwa ndio mwisho wa kesi hiyo juu ya kampuni ya helikopta pamoja na rubani wake.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz