WestKiliRun Tayari Kimeumanaaa!!! ๐Ÿ”ฅ - Jisajili sasa - EDUSPORTSTZ

Latest

WestKiliRun Tayari Kimeumanaaa!!! ๐Ÿ”ฅ - Jisajili sasa

WestKiliRun Tayari Kimeumanaaa!!! ๐Ÿ”ฅ - Jisajili sasa
dhibitisha ushiriki wako sasa

 WestKiliRun 2021

Dirisha la usajili wa mbio za WestKiliRun and Mountain Forest Trails Biking limeshafunguliwa wahi sasa kufanya booking yako mapema offer ni 35,000/- watanzania na wageni ni $30 dolla  (inajumuhisha Medal ๐Ÿ…, T-shirt, BiB Number na kiingilio hifadhini): Kukonfemu ushiriki wako wasiliana nasi kwa Number 0767970071/ +255 67 430 3072 au Instagram @tfsutaliiwest. Bofya hapa kujua zaidi

 ✍๐Ÿฟ Je nawezaje kulipia shindano hili? 

Lipa kwenda namba: 7878284 Jina . West Kili Run and Bike

 Karibu Kutakua na Mastaa wengi wa bongo, njoo nawe tujumuhike kwa pamoja. Pia kutakuwepo na berberque/nyama choma

TUTUMIE EMAIL HAPA

๐Ÿ’“ SHARE&FORWARD ๐Ÿ’“Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz