Njia 15 za siri za kumvutia mwanaume na kuuteka moyo wake. - EDUSPORTSTZ

Latest

Njia 15 za siri za kumvutia mwanaume na kuuteka moyo wake.


 Hatujasema kila kitu hapa kitafanikiwa kwa kila mwanaume, kwa sababu kila mwanaume ana utofauti wake. Lakini kwa haya mambo hautamfanya tu akupende lakini utamfanya awe anakuwaza muda wote.

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA


#1 Kuwa original. Ndio ni kweli, usipitishe tu macho yako haraka haraka kusoma hii sentensi kwa sababu ni sentensi uliyoizoea kuisikia mara nyingi. Lakini ulishawahi kujiuliza kwanini ni kitu ambacho maranyingi hupendekezwa wakati unaanza uhusiano mpya?

Kwa sababu ni kweli! Ukiwa original ni kitu kikubwa sana kinachoweza kumfanya mwanaume wako akupende zaidi. Inatakiwa umuoneshe haswa wewe ni nani kutoka kwenye kiini cha ndani ya tabia yako, ukijifanya muigizaji baadae utaumbuka! Kuwa original kutamfanya mwanaume unayempenda akupende wewe kwa jinsi ulivyo.

Usijaribu kufanya maigizo fulani eti ukizani atakupenda zaidi kwa kuigiza huko. Ukweli ni kwamba atakuambia unazingua, wanaume wapo simple sana, lakini siyo wajinga kiasi cha kuwaigizia.

#2 Jiamini. Najua hii umeshazoea kuisikia pia. Kujiamini kunavutia. Inamaanisha unajitambua wewe ni nani na unataka dunia nzima ijue wewe ni nani – na wanaume hupenda hili. Achana na madhaifu yako yote na jiamini ulivyo lazima atakupenda tu.

#3 Jiheshimu. Hakuna kitu kisichovutia kwa wanaume kama mwanamke asiye jiheshimu. Wanaume hujua- kama unaweza ukaonesha tabia za kutokujiheshimu mwenyewe – unawezaje kumshawishi kwamba unaweza kuwaheshimu wengine? Kwa wewe kujiheshimu kutamfanya macho yake na mawazo yake yakuwaze wewe tu!

#4 Weka sheria zako na Viwango vyako wazi(Make your standard known). Kama umetoka na mwanaume na anataka arudi akalale na wewe siku hiyo hiyo, au siku ya pili au ya tatu na haujazoea kufanya hiv5o- mfanye atambue wewe siyo wa hivyo!. Kama kweli unataka asihangaike na wengine na kwenda kutembea na wanawake wengine wakti bado mpo katika hatua ya “dating” mfanye ajue wewe sio wa kirahisi hivyo. Kwa kumueleza sheria zako, atavutiwa si tu kwa vile unajiheshimu, lakini ni kwavile unataka awe kwenye mstari akiwa na wewe.

#5 Kuwa Mpole, Mtulivu, Mwema. Unapokutana na mtu kwa mara ya kwanza – anachokiona ndivyo atakavyokutafsiri. Kuwa mkarimu na mpole ni kitu kikubwa sana mwanaume atakachovutiwa nacho kwako. Kama wewe ni mkarimu kwake na kwa watu wanaomzunguka, ata assume kwamba wewe ni mkarim kwa ujumla, na wanaume sikuzote hutafuta lulu ya hivi kwa mwanamke.

#6 Kuwa muelekezi. Hii haimaanishi uwe bosi! Usifanye hayo makosa. Wakati baadhi ya wanaume wanaweza kuipenda hiyo tabia(wachache sana), ila hubadilisha mambo baada ya mjda fulani. Kuwa unatoa amri ni moja wapo ya njia zitakazomuonesha unaweza kuwa kiongozi / msimamizi wa kitu fulani. Maranyingi , wanaume wengu hudhani kuwa wao ndoyo mara nyingi wanatakiwa kuwa viongozi kwa kila jambo, na ni kweli huwa ni vizuri anapoagiza jambo na mwanamke analitekeleza lakini na wewe uoneshe unaweza kusimamia unachoelekezwa nae!

#7 Jijali wewe na mambo yako. Simaanishi uwe unaishi kama miss Africa – Hapana! Ninachosema unatakiwa uyaweke mambo yako katika muundo na mpangilio unaoeleweka ambao ni rafiki kwako na mambo yako. Fanya mazoezi, kula vizuri, na kuwa msafi ni tabia ambazo wanaume wengi huvutiwa nazo. Kwanini? Kwa sababu inamaanisha hautaki tu ufanye kazi zako lakini ufanye uku hali yako ya afya ikiwa inaimarika, lakini pia uwe wa kupendeza na kunukia vizuri karibu yake.
Kama ataona unajijali, atajua ua uwezo mkubwa wa kujiwajibisha – kitu ambacho hukipenda sana.

#8 Usiwe wa kusomeka haraka. Usijaribu saana kumfanya yeye akupende. Kuwa makini sana na matendo yako wakati upo mbele yake – asikusome lengo lako hasa ni nini. Mfanye awe na maswali juu yako ya kuwa wewe ni wa aina gani. Hii itampa picha ya kwamba unajijali wewe na mambo yako lakini pia unatambua uwepo wake.

#9 Kuwa muwazi. Ni ngumu sana kwa mwanaume kukupenda na kumteka mawazo yake kama hakujui vizuri!. Funguka kwake. Sasa usianze kuropoka mambo yote yanayokuhusu kwake – utaharibu. Hatajali eti kwamba wewe kuna jamaa alikukatili wiki moja iliyopita na akakufanya ulie siku nzima.

Mwambie matazamio yako, malengo yako na ndoto zako. Mpe mawazo na mitazamo yako kwa baadhi ya mambo yanayoendelea katika jamii inayowazunguka au hata katika nchi. Kwa kumfanya akujue wewe ni wa aina gani , na ndoto zako na malengo yako, itamfanya akuone wewe wa tofauti na shujaa! Niamini

#10 Usitabirike. Kwa suprise unaweza kwenda nyumbani kwake na pizza, au wyne, au bia, au keki. Siyo tu atavikubali, lakini utamfanya awe kichaa zaidi juu yako. Kuwa unatabirika mara nyingi kuna udhi, na atakuchoka mapema. Kwa kuendelea kum-suprise kutamfanya awe hana ujanja kwako na atakuwa anatamani ajue utafanya nini wakati ujao!]

#11 Kuwa Bize! Kuwa na maisha yako! Kwa mshangao, wanaume hujikuta wakiwapenda wanawake ambao huwa bize na mambo yao. Inamaanisha hauhitaji mtu mwingine yeyote kutoka pembeni aje akupangie au akusaidie maisha yako – unajitosheleza mwenyewe. Kuwa unafanya mambo yako na kufata hobby zako kutamfanya yeye ajaribu kutafuta muda ambao upo free ili akujue zaidi mana umemvutia.

#12 Usiwe mtu wa kjitengeneza sana. Wanaume huwachukia sana mwanamke ambaye anatumia saa nzima kufanya makeup. Hii hajahesabia bado muda wa kuoga, kutengeneza nywele, kuchagua nguo ya kuvaa na kuvaa kwenyewe. Simaanishi usifanye haya mambo, lakini mwnaume humchukia mwanamke ambaye muda wote lazima apigiwe kelele ili afanye jambo fulani au lazima aitwe ili awe haraka. Kama unajua wewe ni wa hivyo jitahidi sana asikusome – na ikitokea iwe mara moja moja sana tena kwa sababu maalum.

#13 Mkubali. Kama kweli unataka kumdatisha basi mkubali yeye alivyo. Wakati mwanaume anajisikia kuwa anaweza kuwa yeye ‘original’ akiwa na wewe bila wasiwasi wowote wala kuficha chochote, atajisikia kama kashushwa kwenye dimbwi la mapenzi..hahah!.

#14 Jitahidi kumsapoti kwa mambo yake anayofanya. Hatakama kazi ni ngumu kiasi gani wewe jitahidi hata kidogo kumuonesha kuwa unamuunga mkono kwa jambo analolifanya kwa sababu unajua ni la manufaa kwa wote. Hii itamtia moyo na atatamani awe na wewe muda wote

#15 Endelea kuzifuata ndoto zako. Kama ulitaka kwenda Ulaya, au kuandika kitabu, au kuwa mfanyakazi bora ofisini kwenu, usiache, endelea kufight hatakama jamaa yako yupo kijijini analima, wewe nawe endelea kupambana. Hapa inaweza onekana unapingana nae lakini kama nimuelewa atajua wewe ni dhahabu unayopaswa kuchungwa kwa jicho la pekee. Na nani anajua kwani? Labda na yeye kwa siri amepanga akaishi ulaya. Kwa yeye kujua ambitions ‘matarajio’ yako kutampa hamasa ya kufanya kazi zaidi ili wote mwishoni mfurahi

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPADownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz