UMUHIMU WA MWANGA HUU CHUMBANI KWAKO

UMUHIMU WA MWANGA HUU CHUMBANI KWAKO

Mwanga wa Blue au Light blue chumbani kwako ni muhimu sana hasa kwa wale watu wenye nyota zenye asili za maji kama vile Samaki, Ng’e na Kaa.  Wanajimu nguli wengi duniani wanaelezea manufaa yake kama vile ifuatavyo :


  • Kuongeza mvuto na kukupa furaha.

  • Huongeza nguvu ya mwili na hamu ya kufanya mapenzi mara nyingi zaidi.



  • Pia huleta amani kwa wale walio kwenye mahusiano.



  • Kuongeza bahati, kuinua nyota yako na kuipa nguvu.



  • Huchangia kupunguza malumbano ya wanandoa na kama kuna jambo la kuzungumza la maendeleo mtasikilizana na kufikia mahala pazuri.



  • Kuongeza mvuto wa mapenzi kwa ulie nae na kumtuliza kabisa.


Ifahamike kwamba kama mpenzi wako asili ya nyota yake ni maji basi unaweza kutumia taa hizi ili kumvuta zaidi na kufanya ladha ya mapenzi kuongezeka na kudumu.

Previous Post Next Post