SEX SIO MAPENZI NA MAPENZI SIO SEX - EDUSPORTSTZ

Latest

SEX SIO MAPENZI NA MAPENZI SIO SEX

Se-x sio Mapenzi. Na mapenzi sio Se=x. Unaweza ukawa unafanya nae S-ex lakini akawa hana mapenzi na wewe. Kuwa na Busara. Mtu anaweza akakuchukia na asikupende lakini akafanya se-x na wewe.
Ni kujidanganya wewe mwenyewe kudhani kwamba kumpa S-ex kutamfanya akupende zaidi. Mapenzi ya kweli hayana nafasi katika kulazimisha s-ex. Mtu ambaye hakupendi huwezi kumlazimisha akupende kwa kumpa s-ex.
Kama akikwambia umpe S-ex ili ku-prove kwamba unampenda, asilimia kubwa mtu huyo anakutumia. Kama yupo kwako kwa ajili ya namna unavyompa S-ex vizuri, basi aliye vizuri zaidi atamchukua pia. Ni kama vile mwanamke aliye na Mwanaume kwa ajili ya pesa zake!
Kujiweka katika nafasi ya kuwa mtumwa wake wa se-x ni upumbavu. Anayekupenda kweli hatatumia udhaifu wa wewe kumpenda kuku-compromise kwa kutumia s-ex.
Na kama Uhusiano wako umejengwa katika msingi wa S-ex basi ni vema zaidi ukafanya upembuzi yakinifu juu ya mahusiano hayo na kuyajenga katika misingi sahihi!
Na kama utafunga nae Ndoa kwa misingi ya good se-x, hii ni hatari kwa ndoa yako kwa sababu itafika kipindi hutaweza kumridhisha kama awali.
Funga nae ndoa kwa sababu amekupenda, amekuheshimu, anahisia na wewe, bond yenu ni kali na anataka ku-spend the REST OF HIS LIFE WITH YOU.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz