HUU NDIO UKWELI NAJUA KUNA MTU ATABISHA...ILA NDIO UKWELI...WANAUME WANAJUA NAMAANISHA NINI...DEAR GIRL MI NAKUPA MWANGA TU - EDUSPORTSTZ

Latest

HUU NDIO UKWELI NAJUA KUNA MTU ATABISHA...ILA NDIO UKWELI...WANAUME WANAJUA NAMAANISHA NINI...DEAR GIRL MI NAKUPA MWANGA TU

Mtu akikupenda utajua tu..hutaforce kupigiwa simu, hutaomba akutext, hutaomba kuwa na muda na ww, hutaomba akujulie hali, hutaomba upendwe, hutaomba kusikilizwa, hutaomba kujariwa, hutaombwa kutambulishwa kwa ndugu zake, hutaiomba ndoa, atafanya yeye mwenyewe!!!ukiona hivi vitu una viforce sana ujue iyo sehemu si salama..umekalia kuti kavuuu...!!!jiongeze usipojiongeza utaongezwa!!!
.
Mwanaume kuanzisha mahusiano na ww ni tamaa tu/yaani siku ya kwanza kutongozwa hakuna upendo pale !!ubongo wake unakuwa unawaza ngono tu!...wengi wanaanzisha kwa tamaa za sex tu!! ndoa huwa kama ajari kazini tu/kuanzisha mahusiano na mwanaume akakuoa ni bahati....ujue katika sita umepita ww...70% ipo hivi!!!ni wanaume wachache sana wanaokuwa na mwanamke mmoja kwa wakati mmoja mpaka ndoa katika kumi ni mmoja!!!munaweza kuwa tisa kwa mpigo afu ndoa ukaipata ww!!ndio maana nasemaga mwanaume kama hajakuoa usikomae kumpost au kuanza kumuita mume wangu!!huyo bado anatafuta mke...mwanaume anatafuta mke siku zote anaacha kutafuta mke akikuoa..!!sasa we komaa tu kumuweka profile !!status!!mpost sana insta, , facebook..siku ya kufuta picha nialike!!
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz