FAIDA ZA KUANDAANA KABLA YA TENDO LA NDOA (FOREPLAY) - EDUSPORTSTZ

Latest

FAIDA ZA KUANDAANA KABLA YA TENDO LA NDOA (FOREPLAY)


Haujambo ndugu mfuatiliaji wa makala zangu za mahusiano na afya, natumaini u mzima wa afya.
Leo nakuja na mada inayohusu umuhimu wa kuandaana kabla ya tendo la ndoa.
Mwanaume na mwanamke wanatofautiana kwa kiwango kikubwa sana hasa inapokuja hisia za mapenzi.
Mwanaume akifikiria tu kuhusu tendo la ndoa basi uu-me unasimama papo hapo na yupo tayari kwa tendo na anakuwa na hisia kali kabisa wakati kwa upande wa mwanamke anahitaji kuandaliwa kiakili na kimwili kabla ya kuwa tayari kwa tendo la ndoa.
Mwanamke anahitaji kuandaliwa kifikra na hisia pia, mfano anahitaji mabusu motomoto, anahitaji kumbatio na pia kutomaswa sehemu mbalimbali za mwili wake ili tu kumuweka tayari.
Je, wewe kama mwanaume huwa unayafikiria haya? Au na wewe ni kama wale ambao kabla hawajatomasa wanachanua?
JINSI YA KUMUANDAA MWANAMKE
Ili kupata muda wa kutosha kumuandaa mwanamke basi mwanaume unahitaji kuzizuia hisia zako hivyo kutokuwa na haraka ya kumwingilia mwanamke wako.
Unapoanza kumwandaa mwanamke hakikisha unaanza taratibu, usiende maeneo ya uk-eni mapema.
Anza taratibu kwa kumchombeza na maneno matamu, unaweza kutumia nafasi hii kumwambia ni kwa kiwango gani unampenda, pia mweleze namna alivyo muhimu kwako.
Taratibu unaweza kumpa busu katika maeneo mbali mbali ya mwili wake ambayo unajua humpa hisia zaidi.
Usimvue nguo mapema, endelea kumpapasa huku ukimwambia maneno mazuri, hii si tu inamwandaa kisaikolojia katika tendo, bali pia inamfanya kuiona thamani yako kwake na hivyo kujiandaa pia kukuridhisha zaidi.
Baada ya kumpapasa maeneo mbalimbali sasa unaweza kumsaidia kumvua vazi moja moja.
Kuna wanaume humwambia mwanamke "vua". Hii si vyema, ni vizuri zaidi ukamsaidia kuvua.
Baada ya kumvua mavazi yake sasa unaweza kuanza kumpapasa kwa mahaba zaidi ikiwezekana tumia ulimi wako kuupitisha sehemu mbali mbali za mwili wake ikiwepo maeneo ya mgongoni, shingoni na kwenye kitovu.
Baada ya kumuona kaanza kupatwa na hisia zaidi basi unaweza kuanza sasa kumchezea maeneo ya uk-eni.
Unaweza kutumia vidole vyako kumpapasa taratibu katika sehemu ya kisimi chake, na kama unamuamini zaidi basi unaweza kutumia ulimi wako (japo hii ni ngumu kwa wanaume wengi) lakini kumbuka mapenzi ni upofu.
Mwanamke hupata raha ya juu zaidi iwapo utatumia ulimi kumchezea sehemu ya uk-eni kwake (kwa lugha ya vijana huina kuzama chumvini) kuliko ukitumia vidole pekee.
Baada ya mwanamke kuwa na hisia kali sana sasa unaweza kuanza mechi, mwanamke kwa wakati huu anakuwa kiakili na kimwili yupo katika tendo.
FAIDA ZA KUANDAANA KWA WANAUME
Faida za kuandaana hazipo kwa wanawake pekee, bali hata kwa mwanaume pia.
Kabla ya kuanza mwanaume huwa na hisia kali, au kiwewe cha kuanza tendo la ndoa jambo ambalo huwasababishia wanaume wengi kuwahi kufika kileleni, yaani ni rahisi kumaliza mapema.
Lakini iwapo umeandaliwa na kumwandaa mwenzako ni rahisi sana kudumu kwa muda mrefu.
Kihisia unakuwa katika tendo na hivyo kuridhika zaidi na mwenzako kumridhisha pia.
MAANDALIZI kwa mwanamke humuandaa kisaikolojia jambo ambalo hupelekea kutengeneza ute wa kutosha uk-eni na hivyo kurahisisha kupenyeza uu-me.
USHAURI
Jenga mazoea ya kumuandaa mpenzi wako hata kama mmezoeana kwa muda mrefu, penzi ni chanzo kikuu cha furaha kwa wapendanao.
Usiruhusu ndege wako akapeperuka kwa sababu ya uzembe wako
Asante kwa kuwa nami hadi mwisho, tukutane katika makala nyingine motomoto
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz