VIPI KWAKO NA WEWE LILISHAKUKUTA HILI,,,😂😂😂😂😂😂 - EDUSPORTSTZ

Latest

VIPI KWAKO NA WEWE LILISHAKUKUTA HILI,,,😂😂😂😂😂😂


Inapotokea mnatazamana,mwanamke na mwanaume,Kama macho yanaambiana,tuangaliane,,,yaaani ghafla paaah unamtazama na yeye anakutazama alafu Kama hataki kuendelea kukuangalia,anakwepesha.
Akirudi kukutazama na wewe unamtazama tena,anakwepesha.
Yawezekana kwenye mkusanyiko wa halaiki ya watu,au kwenye vyombo vya kusafiri (usafiri wa umma)
Uenda ujui kwa Nini,ni hali ya nafsi na moyo kusema lugha moja,yaani kabla macho ayajaona nyie mlishapendana ni kitu cha kuongea tu kulipitisha,kwa maana dk 4 zinatosha nyie kupendana kinachoendelea ni nyie kuuthibisha upendo wenu kwa vitendo.
ANGALIZO.
Kwa kugongana sio mwanaume awe kinara tena kwa kulazimisha hata kumkonyeza,hiyo tamaa.
Nilichokisema ni tazama nikutazame kugongana macho,tena Kama ni mwanamke ukimtazama unaliona tabasamu la mahaba kabisa,anaenjoy mkitazamana.
Tafadhali yawezekana ndio wako alibakia,ukimpoteza huyo kumpata Tena ngumu,siku akitokea usikubali kumuacha kama ni kwenye dala dala hakikisha ushuki mpaka yeye atakaposhuka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ukweli usipoteze fursa kumpata wa kufanana na wewe ni mtihani.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz