Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmoja akifua,
nikamulza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Badala ya kujibu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada hadi wananchi wenye mapanga,
mawe na mishale wakaanza kuja,
nikamulza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Badala ya kujibu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada hadi wananchi wenye mapanga,
mawe na mishale wakaanza kuja,
Dada huyo alivo ona wanakuja akajimwagia maji mwili mzima. Wananchi walivofka, wakamuulza, kuna nini?
Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!! Wakanipongeza kisha wakaondoka...
Yule dada akaniambia, hivyo ndivo visa vya wanawake,
Mwanamke anaweza kukuua au kukulinda!
Mwanamke anaweza kukuua au kukulinda!
Muheshimu mwanamke hata kinafiki, usijifanye jeuri!!!
No comments:
Post a Comment