NDOA HIZI WE ACHA TU KILA UPANDE UNA CHANGAMOTO ZAKE! - EDUSPORTSTZ

Latest

NDOA HIZI WE ACHA TU KILA UPANDE UNA CHANGAMOTO ZAKE!


Mwanaume
Mmojaa alikuwa anamlazimisha mkewe
kufanya mapenzi gizani kwa muda wa
miaka kumi,ndipo siku moja mwanamke
uzalendo ukamshinda na kuamua
kuwasha taa ila ghafla alipigwa na
bumbuwazi baada ya kuona kuwa kumbe
mumewe ana -wa bandia na sio halisi!
Mwanamke alihamaki na kumwambia
mume wake haya naomba maelezo
haraka kabla sijakinukisha kwa majirani
na marafiki zako?
Mwanaume akajibu
Mimi ndio naomba maelezo makubwa
mno tena ya haraka,nataka uniambie hawa watoto wetu watatu wamepatikana vipi?
#USICHEKE INATAKIWA TUJIFUNZE KITU
HAPO KUPITIA SIMULIZI
HIYOmimi ndio nimemaliza hivyo!!!
Deus Mkombozi Kira.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz