"LAKINI bado NAMPENDA" kauli inayowaliza wengi kwenye Mapenzi. - EDUSPORTSTZ

Latest

"LAKINI bado NAMPENDA" kauli inayowaliza wengi kwenye Mapenzi.

Binafsi ni maneno nisiyo penda kutamka wala kumsikia mtu akitamka .
Katika hali ya kawaida MAHUSIANO huweza kukua na kuzidi kumpenda ambae atakuwa mstari wa mbele ktk
_kukupenda.
Kukuheshimu
Kukuamin.
Kukuvumilia.
Kukuelewesha.
Ni.mtu ambae hapend kuona ukikosa raha kuwa jambo lolote. Atafanya kila njia kuhakikisha unafurahia kuwa nae. Kumpoteza mtu kama huyu lazima ulie.
Kinyume chake
Mapenz yakisha tawaliwa na
Usaliti
Unyanyasaji
Dharau
Ukandamizaji
Lazima upendo upungue kisha kuisha kabisa. Hakuna anae penda kudharauliwa au salitiwa.
Sasa nikuulize wewe ambae unasema bado unampenda.
Amekusaliti na anaendelea kukusaliti
Anakudharau na kukutukana
Anakuona huna maana kwake
Mda mwingne anakupiga kabisa
Mawasiliano kapunguza kabisa
Sasa huo UPENDO unao sema bado unampenda unatoka wapi?
Matusi na ngumi zake vyakufanya uendelee kumpenda?
Ukubwa wa makalio na pesa zake ndo useme bado unampenda?
Acha kujidanganya
Ngumu sana kuendelea mpenda mtu anae kuumiza makusudi.
.
Ni uwoga wako ndo unao kufanya uhisi bado unampenda..ila kiukwel usingependa pitia maumivu zaidi.
Hivyo basi
Umesalitiwa
Umekataliwa.
Umeachwa
Umedharauliwa
Kubali matokeo na mwache aende zake. Epuka kuomba msamaha kwa kosa ambalo hujafanya. Yaan kosa kafanya yeye afu msamaha unaomba we ili tu muendelee.
Acha kuwa mtumwa wake maana kesho atakuumiza zaid ya Jana na leo.
Hata kama ni msichana mrembo sana mwrnyr rang na shepu yake
Au mkaka handsome,mwenye pesa zake. Akienda kinyume nawe usiogope kuachana nae
Kama hakutak ndivyo itakuwa
Acha kujipendekeza na kutumia nguvu ili uwe nae. Mwache abak na kumbu kumbu kuwa ulimpenda kwa dhati ila hakukupa nafasi.
Atapo taman siku zirud nyuma awe nawe atakuwa ameshachewa.maumivu aliyo kupatia nae kuna mtu atampatia.
Kubali
Kuachwa na kuachika huenda ndo kakupa nafas kumpata mtu wa maisha yako. Usionyeshe kumunyenyekea mtu kisa Mapenz atakusumbua. Mumekutana ukubwan sasa ya nini kuzeeshana kwa mawazo?
NI KWELI BADO una mpenda au Ni akili yako tu haijakaa sawa kwa sababu ulimuamin na kupanga mengi?
Siku utampata mtu ambae atakufanya uhisi umezaliwa upya ktk mapenz. Atakufanya uhisi hakuna kuumizwa.subir wakat wako wa kupendwa kwa dhat
Wengine hata umlambe wapi bado atakuona KENGE Tu
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz