MY FUTURE wife/ Husband Huu ni ujumbe wangu kwako - EDUSPORTSTZ

Latest

MY FUTURE wife/ Husband Huu ni ujumbe wangu kwako


PICHA
Najua hakuna picha ya pamoja tuliyo piga wote .. Hii ni kwa sababu ya changamoto za umbali na namna tulivyo kutana Mimi na we mpaka kuanzisha mahusiano ( mtandaoni)
Naomba nikutoe shaka kuwa siku ya HARUSI yetu tutapiga picha nyingi sana tena mazingira tofaut na nyuso zetu zikiwa na Furaha
MAWASILIANO
Naomba tuvumiliane pale simu zangu au zako hata sms zinapo chelewa kujibiwa.. Tambua Mimi na wewe tuna majukum tofaut hivyo sio rahis kila siku na kila mda kujibu.. .. Kumbuka kuwa kuna mda wa kaz na mda wa kushika simu.....
MAADUI
Naomba utambue kuwa tumezungukwa na maadui wengi sana wasio penda sisi tufike mbali.. Kuna NDUGU na JAMAA ambao hawatak ndoto zetu zitimie.. Ila tambua ni Msimamo wangu na wako ndo vitatufanya tufike tunapo taka.
ONDOA SHAKA
Naomba usiwe na wasi juu ya upendo wangu kwako.. Ni kweli nahitaj kuishi nawe ila nategemea zaid ushirikiano wako.. Sihitaj kukupoteza kwa namna yoyote ile.
NIVUMILIE
Naelewa kuna mda unakuwa na shida kubwa yenye kuhitaj PESA kuitatua ila nashindwa kukusaidia.. Naweza shindwa kwa Leo ila kesho nitaweza. Kumbuka hata MICHELE hakuwa waza siku mumewe OBAMA atakuwa Rahisi.. Hata mume wa Mh.Samia hakuwa waza siku mkewe atakuwa makam wa Rahisi.. Hivyo nami bado natafuta sijaridhika na hali yangu.
Pamoja na yote
We ndo mumiliki halali wa Moyo wangu na mwenye thaman kwangu. Sita jali umetembea na wangapi ila kuishi nami ni furaha na faraja tosha.
( Ungependa uambiwe au umwambie MTU unae mpenda.. Furahia kuwa na MTU asiye penda kukupoteza au kukukwaza)
Share




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz