#KILA MWANAMKE AMEUMBIWA THAMANI YAKE KWA MWANAUME... - EDUSPORTSTZ

Latest

#KILA MWANAMKE AMEUMBIWA THAMANI YAKE KWA MWANAUME...MAISHA – Page 18 – My Blog
Thamani ya mtu hutengenezwa na mtu mwenyewe, Ewe mwanamke Kumbuka hautafuti thamani yako kwa mwanaume bali UNAPATA THAMANI YAKO NDANI YAKO kulingana na vile ambavyo umejipa thamani mwenyewe! Kila Mwanamke akijitambuwa na kuijuwa THAMANI yake aliyonayo KAMWE HAWEZI KULILIA MAPENZI maana hakuna mahala ambako mwanamke huanguka kama wakati ule anakutana na mwanaume kwa mara ya kwanza na hapo ndipo PALIPO NA UJENZI WA MAHUSIANO MAZURI ama hapo ndipo palipo na ubaini PENDO LA UNAFIKI... Ukiushinda mtihani wa awali kamwe mitihani ya mbele ya safari haiwezi kukuliza, Jifunze KUPENDA KWA KUJIULIZA ili uchague vyema.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz