HEBU ONA NAMNA WAZAZI WANAVYOONGEA NA BINTI ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI - EDUSPORTSTZ

Latest

HEBU ONA NAMNA WAZAZI WANAVYOONGEA NA BINTI ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI

NAMNA WAZAZI WANAVYOONGEA NA BINTI ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI
1.Miaka 13 Usipende Wavuliana ni Wabaya
2..Miaka 18 Sitaki Nikuone Na Mvulana Yule Tena
3..Miaka 23 Lini Utatuletea Mchumba Wako
4..Miaka 26 Wenzio Wanaolewa
5..Miaka 30 Tumekuambia Acha Sana Kuchangua Wanaume Utaki Kusikia
6..Miaka 33 Kuna Mtu Wa Mungu Yupo kule Anaombea Watu Unaweza Kupata Mchumba
7..Miaka 36 At least Pata Mtoto Mmoja
8..Miaka 38 We Will Take Care Of All The Wedding Bills Yeyote Ni Sawa Sisi Tutagharamia Kila Kitu Mwanetu Wee Mlete Tu
9..Miaka 40 hivi kweli Nani Alikuroga
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz