WANAWAKE SHITUKENI! - EDUSPORTSTZ

Latest

WANAWAKE SHITUKENI!

No photo description available.
Yaani unaishi na Mwanaume kama Mume na Mke n then mtu hawezi hata kununua skin tite? Raha ya Mapenzi ni zawadi hata kama ni ndogo lakini ikibebwa na mtu ambaye unampenda MOYO HUNENEPA... Mwanaume mwenye UPENDO WA DHATI kamwe hawezi kuishi na Mwanamke wiki moja bila hata kununua kitu cha kuvaa Mwanamke wake, Najua wanaume mtanitazama kwa hasira😤 katika hili lakini hebu jiulize MWANAMKE WAKO AMEKUNUNULIA VINGAPI? Kwa hesabu hiyo naomba wanaume mbadilike, Msimamie majukumu yenu kama ambavyo MUNGU ALIAGIZA TUTAKULA KWA JASHO basi jasho hilo liwe kwa ajili ya wake zetu tafadhali, Mwanamke anakuzalia Mtoto na mengineyo unashindwa kununua hata BLAZIA kweli? Hauko serious aisee, Mwanaume makini anamchunguza mkewe kuanzia nguo za ndani mpaka za nje, Wewe unamvua mkeo chupi ambayo hukununua una akili kweli? Lol👌
Hebu nasi tusimame tujitetee katika mambo kama haya jamani, Raha aipatayo mwanamke hata akaenda bafuni na kale kanaitwa ka "SHAVER" ni pale anapobaini ana chupi mpya umemletea, Ukiona nakusakama vaa miwani nyeusi gizani usisome tena post hii lakini Mimi nimepaza sauti🔊🕪 na mwenye KUELEWA ameelewa👂.
#Elista_kasema_ila_sio_sheria 😎
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz