UTOFAUTI KATI YA MSICHANA NA MWANAMKE KWENYE MAPENZI/MAHUSIANO...!!! - - EDUSPORTSTZ

Latest

UTOFAUTI KATI YA MSICHANA NA MWANAMKE KWENYE MAPENZI/MAHUSIANO...!!! -

Image result for MAPENZI YA MBALI; HATAKI UENDE KWAKE ANATAKA AJE YEYE KUKUTEMBELEA.
MSICHANA,Lazma ataweka password kila sehem kwa simu yake,
Wakati MWANAMKE Anakuwa na confidence ya kumwambia mpenzi/mume wake “kuna meseji imeingia apo Ebu Niangalizie iyo meseji nan katuma, niko napika nashindwa kushika hiyo simu”!!
!
-
MSICHANA, huenda kuspend muda wake na rafiki zake mitaani,
Wakati MWANAMKE hutumia muda wake mwingi na mpenzi wake wakipanga mipango ya baadae for their future!!
-
MSICHANA,lazima huanza kubishana na mpenzi wake, Lakini
MWANAMKE, Hubaki kimya akimsikiliza mpenzi wake na baadae hukaa nae na kuongea nae akimwelekeza kwa hekima.
-
MSICHANA huongozana na mwanaume wake kwenda nyumba ya wageni,
Wakati MWANAMKE Huongozana na mwanaume wake kwenda nyumbani kwa wazazi.
-
MSICHANA Huambia dunia nzima kuwa ameumizwa na mpenz wake,
Wakati MWANAMKE hutunza hayo mambo kwa moyo wake tu, hata akiwa na machozi kwa macho yake bado huwa uwez wa kusema.......ah! I am fine. Akijua jawez kumdhalilisha mtu muhimu kwake!!
-
MSICHANA atasoma hii na kudhani namsema yeye, Wakati MWANAMKE Atasoma na kuelewa nini inabid arekebishe kwa maisha yake ya Mahusiano. #MkakaFulani

Image may contain: 1 person, phone and close-up
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz