BRO KAMA UMEPATA MSICHANA MWENYE BAADHI YA VITU HIVI, BASI HUYO NI MKE KABISA USIMCHEZEE UKAMUACHA. - EDUSPORTSTZ

Latest

BRO KAMA UMEPATA MSICHANA MWENYE BAADHI YA VITU HIVI, BASI HUYO NI MKE KABISA USIMCHEZEE UKAMUACHA.

Siku hizi Boys weng huw hawajui kuwa wamepata mtu mwenye uwezo wa kua nao kwa tabu na raha zao mwisho huishia kuumiza girl without a reason.
Bro Kama umepata msichana ambaye ana baadhi ya hiz vitu,
Anaweza kukaa na kuusikiliza mawazo yako kila siku, Na kukushauri in a positive way
Anayejaribu kufanya chochote kwaajili yako hata kama humfanyii chochote kulipia kile ya anakufanyia
Anayeweza kutabasamu mbele ako hata kama ni umetoka kugombana nae na kumfanya alie, Sabb anajua ni mambo ya kupita lakin maisha lazima yaendelee akiwa nawe na anatambua kukunua akutatengeneza kitu zaid ya kuharbu
Anayesongwa na marafiki zake ili akuache kwa kumpa maneno ya uongo au wakikuona ww n level ya chini na hufai kuwa nae lakini bado anaona ww ndio unayestahili na ni chaguo lake,
Anayetafuta sabb ya kukusamehe kila mara unapokuwa umemuumiza bila kujari n kiasi gani ameumia sabb ako,
Anayejitolea chochote kidoogo alichonacho kwaajili yako,
Then you should consider yourself lucky.... Jione mwenye bahati, Tena bahat zaidi ya ile ya mtende na inakubidi utulie kwake...
Kumbuka Sio Kila mwanaume ana msichana kama huyo....
Badala Ya Kukaa unahangaika na malaya wengn wa kuwa nao kwa muda wasiojua wala kujal thaman yako.
Tulia na mpenz wako sabb hao wanawake wengine weeeeng nje huko hawawezi kukujal na kucare
Kama Huyu anavyokufanyia na kukujal....
Think about it.
Boyz tuwe na Shukrani kwa mioyo inayotupenda....
Girl mwenye true love share to 🚚 deliver this... #MkakaFulani
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz