UNAHISI UNAWEZA KUTOFAUTISHA KAMA UMEMFIKISHA KWELI MPENZI WAKO KILELENI AU ANAPIGA KELELE ZA KIMA-HA-BA KUKUZINGUA TU - EDUSPORTSTZ

Latest

UNAHISI UNAWEZA KUTOFAUTISHA KAMA UMEMFIKISHA KWELI MPENZI WAKO KILELENI AU ANAPIGA KELELE ZA KIMA-HA-BA KUKUZINGUA TU

No photo description available.Unahisi unaweza kutofautisha kama umem-fikisha kweli mpe-zi wako kileleni au anapiga kelele za kimah*ba za kukuzingua?, mwanamke ambaye zamani alikua anamzingua mpen-zi wake kwa ke-lele za kimahaba anatuele-zea kwanini ni vigumu kuliko unavyofikili kutambua na utatambuaje!.

Mimi sio mwigizaji, zaidi ya hapo nilikuwa mtu wa mwisho kwenye maigizo kipindi cha shule ya msingi, ila nina uwezo mkubwa wa kusema "Oooh, hapo hap-o.. unanifiki-shAa!", mpaka mwanaume akahisi kweli amenifikisha, hata hivyo siko peke yangu wanawake wengi tu wanaigiza wakati wapo wanaf-anya mape-nzi.
Utafiti wa kitaifa wa ngono uliofanywa na chuo cha indiana, ulionyesha asilimia 85% ya wanaume wakisema mara ya mwisho kufa-nya ten-do la ndoawaliwa-fikisha kileleni wenza wao, hata hivyo asilimia 64% tu ya wanawake walisema walifika kilel-eni mara ya mwisho walipofanya  hii inamaanisha ni hesabu ya ajabu hata mtoto wa darasa la pili anajua imeko-sewa, na inamaanisha asilimia 21% ya wanaume walidanganywa na mi-lio ya kimah-aaba ya wenza wao na wakaamini kuwa waliwafikisha.
Iwapo tukichukulia na wewe utaki kuwa mmoja wa hao waliodanganywa na mbaya zaidi hawakua na ufahamu wowote kuwa wamedanganywa.

ASANTENI SANA WADAU WA APP HII
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz